Tuesday, October 20, 2020

Kocha Vital O’ awaonya wanaomponda Mavugo

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

NA WINFRIDA MTOI

KOCHA wa zamani wa Vital O’, inayoshiriki Ligi Kuu ya nchini Burundi, Ndayiragije Etienne, amesema  mshambuliaji wa Simba, Laudit Mavugo,  atafanya mambo makubwa kuliko watu wanavyomtazama kwa sasa.

Kocha huyo, ambaye kwa sasa anakinoa kikosi cha Mbao FC cha jijini Mwanza, anaamini Mavugo anaathiriwa na ugeni  na kudai kuwa kama atapewa muda zaidi atafanya makubwa na kuwashangaza watu.

Alisema baada ya kumfuatilia mshambuliaji huyo, amebaini   kinachomsumbua ni mazingira, hivyo anatakiwa kukomaa ili aweze kuonyesha ubora wake.

“Mwaka jana nilikuwa na Mavugo Vital  O, ni mchezaji mwenye kipaji cha hali ya juu na anaweza kufanya mambo makubwa uwanjani kwa muda mfupi, ila  kinachompa shida  hivi sasa ni uzoefu, mashabiki wampe muda,” alisema.

Alisema Mavugo anaweza kufikia makali ya Tambwe na hata kumpiku kama ataendelea kupewa nafasi ili kuzoea mazingira ya soka la Tanzania.

“Nilimshuhudia Mavugo kwenye mechi  kadhaa, ikiwamo ya Mtibwa Sugar, yuko vizuri. Tambwe ameshaizoea ligi hii, tofauti na Mavugo ambaye amekuja  msimu huu,” alisema.

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -