Wednesday, October 28, 2020

KOLABO YA LULU DIVA, MOBETTO YANUKIA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

SIKU moja baada ya mwanamitindo, Hamisa Mobetto, kuachia wimbo Madame Hero, uliopokewa vyema na watu mbalimbali, staa wa singo ya Ona, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’, ametangaza ujio wa kolabo.

Akizungumza na Papaso la Burudani, Lulu Diva, alisema Mobetto, amekuwa akimhamasisha mambo mbalimbali kila siku na kupitia wimbo huo wenye ujumbe wa kuhamasisha wanawake kutokukata tamaa ameendelea kumkubali zaidi.

“Mobetto ni mfano wa kuigwa na wanawake wengi, amekuwa akijaribu kufanya vitu vingi na kufanikiwa, kuna kitu chetu tunakiandaa yaani sijui tukikitoa itakuwaje, watu wampe sapoti tu kwa kweli,” alisema Diva.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -