Wednesday, October 28, 2020

KONTA AACHANA NA KOCHA WAKE

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

LONDON, England


NYOTA wa tenisi namba moja England, mwanadada Johanna Konta, ameachana na kocha wake, Esteban Carril licha ya maisha mazuri aliyokuwa nayo pamoja na kocha wake huyo mwaka huu.

Kiwango cha Konta mwenye umri wa miaka 25, kilipaa kwa kiasi kikubwa na kumfanya atoke kwenye orodha ya wachezaji bora 100 duniani hadi 10 bora kwa kipindi cha mwaka mmoja chini ya Carril.

Baada ya kutinga robo fainali za michuano ya wazi ya tenisi Marekani (US Open 2015), Konta alianza mwaka huu kwa kutinga na nusu fainali ya Australian Open kabla ya kumaliza mwaka akiwa nafasi ya10 duniani.

Licha ya kupata mafanikio makubwa ndani ya miezi 15, wakala wa Konta alithibitisha kuwa mahusiano ya kikazi baina ya Carril na mkali huyo yamefikia tamati.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -