Friday, October 30, 2020

Kraist Kid aanika siri ya ukimya wake

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA DAINES MSUMENO(TUDARCo)

RAPA anayewakilisha vyema Mkoa wa Kilimanjaro, George Silaa a.k.a Kraist Kid, amesema kimya chake kilisababishwa na kufanya maandalizi ya kampuni na duka lake lililopo wilayani Siha.

Akizungumza na Papaso la Burudani jana, Kraist alisema wasanii wanatakiwa wajiongeze nje ya muziki kwa kuwekeza kwenye mambo mbalimbali ila wasije kuwa masikini sanaa ikiwakataa.

“Nilikuwa bize kufungua kampuni yangu inayojihusisha na mambo ya ujenzi na duka kubwa la samani hapa Siha ila mwishoni mwa mwaka huu nitawashangaza mashabiki kwa ngoma kali,” alisema Kraist.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -