Saturday, October 31, 2020

Kumbe Pacquiao alikuwa ‘mteja’ bwana!

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

LOS ANGELES, Marekani

STAA wa mchezo wa ngumi, Emmanuel ‘Manny’ Pacquiao, ametoboa siri kuwa aliwahi kutumia dawa za kulevya alipokuwa kijana.

Pacquiao aliongeza kuwa alifanya hivyo miaka minne kabla ya kutwaa ubingwa wa dunia.

“Nilijaribu dawa za kulevya… aina zote za dawa za kulevya,” alisema.

Pacquiao raia wa Ufilipino, aliwahi kukiri kuwa alikulia katika mazingira magumu kutokana na umasikini wa familia yake iliyokuwa ikijishughulisha na kilimo cha nazi.

Bondia huyo ni rafiki mkubwa wa rais wa nchi hiyo, Rodrigo Duterte ambaye ameanzisha kampeni nzito ya kupiga marufuku utumizi wa dawa za kulevya.

“Rais (Duterte) hajui uzoefu wangu na dawa za kulevya,” alisema Pacquiao mwenye umri mwa miaka 37 na kuongeza kuwa hakulizungumzia hilo kwa kuhofia angeharibu uhusiano wake mzuri na rais huyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -