Monday, November 23, 2020

KUMBE SANCHEZ KAFUNDISHWA KIMOMBO NA MASHABIKI

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

LONDON, England

Alexis Sanchez anaamini kwamba kujifunza Kiingereza kumemsaidia kukua kwenye ‘levo’ nyingine.

Nyota huyo wa Chile amejiunga Arsenal miaka miwili iliyopita, lakini juzi ndio amefanikiwa kufanyiwa mahojiano kwa mara ya kwanza kwa lugha ya Kiingereza.

Mshambuliaji huyo wa Arsenal amesema alianza kujifunza Kiingereza akitumia saa mbili kila siku, lakini kuzungumza na mashabiki barabarani kumemsaidia kujifunza zaidi.

“Mwanzoni nilikuwa najifunza Kiingereza kwa muda wa saa mbili kila siku,” alisema Alexis.

“Hivyo nilikuwa nikitumia kile nilichojifunza kuwasiliana na wachezaji wenzangu na kocha. Ukweli napenda lugha ya Kiingereza. Kujifunza lugha hiyo kumenisaidia kukua binafsi.

“Kiujumla wachezaji wenzangu wamenisaidia sana kujifunza. Pia nimejifunza Kiingereza kwa njia nyingine, kama kuzungumza na mashabiki mitaani.

“Watu wananifuata, wanazungumza na mimi Kiingereza, uwezo wangu wa kusikia na kuzungumza Kiingereza unaongezeka kwa msaada wa mashabiki.

Akizungumza kwenye mtandao wa klabu hiyo ya kaskazini mwa London, aliongeza: “Siku chache zilizopita nilifanya mahojiano ‘live’ kwa lugha ya Kiingereza kwa mara ya kwanza kwenye maisha yangu.

“Ilikuwa ngumu kwa kiasi fulani, lakini nilikuwa najisikia vizuri sana. Napaswa kuendelea kujifunza lugha hii ya ili niweze kuendelea kuishi vizuri na watu na kujifunza mambo mengine na pia nizidi kuwasiliana na wachezaji wenzangu pamoja na kocha wangu.”

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -