Friday, October 30, 2020

KUMBE SELENA GOMEZ BADO HAAMINI KAMA KATEMWA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

 

NEW YORK, Marekani

RAFIKI wa karibu na mpenzi wa zamani wa mwanamuziki, Justin Bieber, Selena Gomez, wanasema kuwa kimwana huyo mpaka leo haamini kama staa huyo atafunga ndoa na mchumba wake wa sasa, Hailey Baldwin.

Marafiki walisema juzi kuwa mwimbaji huyo ambaye ni mwigizaji na ambaye alikuwa katika uhusiano na Justin, kwa muda wa miaka nane na kisha wakatengana mpaka sasa bado ana matumaini ndoa ya wawili hao ambao walivalishana pete ya uchumba baada ya kufahamiana katika kipindi cha mwezi mmoja haitakuwapo.

“Selena walau anakuwa muwazi kusema,” alisema mmoja wa marafiki zake.

 

“Kwa miaka mingi, Selena na Justin,  walikuwa wakiachana na kurudiana lakini kwa sasa kuna Hailey na Justin. Na inawezekana Hailey mara zote alikuwa akisubiri kudandia na ndio maana akafanya hivyo wakati wawili hao walipoachana,” aliongeza rafiki huyo.

Rafiki huyo alisema hata hivyo pamoja na Gomez kujipa matumaini ya ndoa hiyo haitakuwapo, lakini itakuwa vigumu kupokea simu kutoka kwa Justin kwa kile alichodai ameshaangukia katika penzi zito kwa kimwana huyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -