Sunday, January 17, 2021

Kwanini nyota wengi wa Barca ni ‘mafisadi’?

Must Read

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi...

BARCELONA, Hispania

nyota wa zamani na wa sasa wa Barcelona wanaendelea ‘kupamba vichwa vya habari kwa kesi za kukwepa kulipa kodi, ambapo kwa sasa mchezaji Adriano Correia ameingia kwenye utata huo na amerejesha kodi yenye thamani ya Euro 641,000 kwenye Mamlaka ya Mapato ya Hispania za msimu wa 2011/12 alipokua akiichezea klabu hiyo ya Catalan.

Mchezaji huyo amesisitiza kwamba kiasi hicho alikitangaza mjini Madeira akidai ni kwa ajili ya haki ya mkataba wa matumizi ya picha zake kama mchezaji.

Lakini Adriano si mchezaji pekee kuhusika kwenye kesi kama hiyo, kuna wachezaji wengine kama Neymar, Lionel Messi, Javier Mascherano na Dani Alves, ambao wao ndio wamekuwa na kesi nzito na mamlaka ya mapato ya nchini Hispania.

Neymar amepigwa faini ya Euro milioni 5.5 kwa sababu mkataba wake umedaiwa kuficha Euro milioni 9.3 ambayo ilitakiwa ilipwe kodi.

Kwa upande wa Messi, alishtakiwa pamoja na baba yake kwa kukwepa kulipa kodi ya Euro milioni 4.1 kati ya mwaka 2007 hadi 2009.

Alves alishindwa kulipa ya kodi kutoka kwenye Euro milioni 1.3, ambapo Javier Mascherano alilipa faini ya Euro 21,000 kutoka kwenye Euro milioni 1-5 ili kuepuka kwenda jela.

Wachezaji wengi wamekuwa wakiingia mkenge kwa kushindwa kulipa asilimia 10 ya kipato kinachoingia kutoka kwenye mkataba wa matumizi ya haki za picha zao.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -