Tuesday, November 24, 2020

KWELI NI WAKATI MWAFAKA KWA AJ, WLADIMIR KUZIPIGA?

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

London, England


JE ni kweli huu ni wakati mwafaka kwa bondia Anthony Joshua (AJ) kuzichapa na Wladimir Klitschko.

AJ atakuwa akitetea mkanda wake wa IBF dhidi ya Klitschko kwenye Uwanja wa Wembley, Aprili 29 mwaka huu, huku mkanda wa WBA ukiwa wazi.

“Katika miaka mitatu nitakuwa mzuri zaidi na yeye atakuwa mzee sana,” amesema Joshua alipokuwa akizungumza na televisheni ya Sky Sports.

“Kama alivyosema Wladimir, kweli huu ni wakati mwafaka.”

Mchezo huo unatarajiwa kuwa kati ya pambano kubwa kwa mwaka 2017, likitarajiwa kuvuta mashabiki wengi nchini England, ambapo mashabiki 90,000 wanatarajiwa kuhudhuria mjini London.

Meya wa Jiji la London, Sadiq Khan, amempa promota wa pambano hilo, Eddie Hearn, ruhusa ya kuongeza idadi ya mashabiki kwenye uwanja huo wa Wembley, ikitarajiwa kufunika idadi ya pambano la marudio la Carl Froch na George Groves la mwaka 2014.

Pamoja na kuwa litakuwa pambano kubwa sana kwa AJ mwenye umri wa miaka 27, lakini bondia huyo amepanga kufuata nyayo za bondia wengine wa England, Lennox Lewis, Ricky Hatton, na Joe Calzaghe.

Ingawa wengi wamekuwa wakihoji kama Joshua anaweza kubeba mkanda huo, wakibisha kwamba bado hajafika kiwango cha kupambana na mkongwe huyo kwenye masumbwi.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -