Tuesday, October 27, 2020

LADY JAY DEE ADAI ALITAKA KUNYWA SUMU

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA MWANDISHI WETU


 

STAA wa Bongo Fleva, Judith Wambura ‘Lady Jay Dee’, amedai alitaka kunywa sumu ila nafsi yake ilimsuta na kukumbuka alipotoka jambo lililomfanya aone kujiua ni ujinga.

Lady Jay Dee ambaye anajiandaa na onyesho lake la Usiku wa Sauti (Vocal Night) utakaofanyika Oktoba 26 mwaka huu katika Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, alitumia ukurasa wake wa Twitter kuandika ujumbe huo uliotikisa tasnia ya burudani.

“Jana (juzi) nilihisi kunywa sumu ila kabla sijafanya nikajisuta na kujikumbusha nilipotoka na kujiuliza nitakuwa mjinga kiasi gani. Nikajisikitikia tu kisha nikaacha na leo bado nipo kigumu gumu ila bado nipo,” aliandika Jide.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -