Friday, December 4, 2020

Lil Wayne, Snoop ndani tuzo za BET

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

LOS ANGELES, Marekani

WAKONGWE Lil Wayne na Snoop Dogg wameingia kwenye kinyang’anyiro cha tuzo za BET kwa upande wa muziki wa Hip hop.

Kuelekea usiku wa tuzo hizo, Oktoba 27, mwaka huu, mastaa hao wanaunga na wakali wengine, wakiwamo T.I, 2 Chainz, Big Sean, Burna Boy, Lil Baby, na Ty Dolla $ign.

Tofauti na miaka iliyopita, safari hii tuzo hizo zimeongezewa mvuto kwa kuongezwa kipengele cha ‘Best International Flow’ kitakachowapa fursa wasanii kutoka Ufaransa, Afrika Kusini, Kenya na Uingereza.

Kwa upande mwingine, upekee mwingine unaoonekana wazi kwenye tuzo za msimu huu ni kwamba itakuwa ni mara ya kwanza kushuhudia wasanii kutoka Brazil wakipewa fursa ya kushiriki.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -