Sunday, January 17, 2021

LINAH AMPIGA KIKUMBO WEMA ‘BIRTHDAY’ YA IDRIS

Must Read

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi...

HABARI ZOTE NA ZAITUNI KIBWANA,

NYOTA wa muziki wa Bongo Fleva, Estelina Sanga ‘Linah’, ni kama amempiga kikumbo mlimbwende wa Tanzania, Wema Sepetu, baada ya kuongozwa kutajwa kwenye siku ya kuzaliwa ya mshindi wa Big Brother Africa 2014, Idris Sultan.

Linah ambaye ndiye aliyetajwa kuhusika kuvunjika kwa uhusiano wa Idris na Wema, amefanya mashabiki wengi wa Idris kutumia siku hiyo kumweka kwenye kurasa zao za mitandao ya kijamii.

Miongoni mwa watu waliomweka kwenye kurasa za mitandao mbalimbali kama vile Instagram ni msanii anayefanya vema Bongo, Naseeb Abdul ‘Diamond’ ambaye aliweka picha ya Linah na kuandika: ‘Happy Birthday Idris’.

Kitendo cha Diamond kuweka picha ya Linah na kumpongeza Idris kimetajwa kama kumpoteza Wema ambaye tayari alishaachana na mshindi huyo wa Big Brother.

Mbali na Diamond, pia mashabiki wengine wa Idris walitumia picha ya Linah kwenye kurasa zao mbalimbali kama kijembe kwa Wema ambaye mpaka sasa bado hajamtangaza mpenzi wake mpya.

Idris kwenye siku hiyo alikuwa akisherehekea miaka 24 ya kuzaliwa ambapo alizaliwa Januari 28, 1993.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -