Tuesday, November 24, 2020

LUIZIO: YANGA WAJIANDAE MAUMIVU

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ZAINAB IDDY

STRAIKA wa Simba, Juma Luizio, amesema watani wao wa jadi Yanga wajiandae kwa maumivu katika mchezo wa marudiano wa Ligi Kuu Tanzania Bara utakaochezwa Februari 25 mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na BINGWA jana, Luizio alisema wamejipanga kila idara kuhakikisha wanashinda ili waweze kukaa katika mazingira bora zaidi ya kuchukua ubingwa katika msimu huu.

Luizio aliyejiunga na Simba  kwa mkopo katika  dirisha dogo la usajili la Desemba mwaka jana  akitokea Zesco ya Zambia, alisema baada ya juzi kufunga bao wakati timu yake ikiibuka na ushindi wa mabao 3-0  dhidi ya Prisons kwenye Uwanja wa Taifa,  sasa anaisubiri Yanga.

“Yanga wajiandae  wasifikiri tutacheza mchezo  kama ule wa nusu fainali wa Kombe la Mapinduzi uliomalizika kwa sare tatu ndani ya dakika 90 na kufikia kucheza kwa changamoto ya mikwaju na sisi kushinda penalti  4-2.

Ni mchezo muhimu sana kwetu, kwani utatuweka katika mazingira bora zaidi ya kuchukua ubingwa msimu huu,” alisema Luizio.

Katika mchezo wa kwanza uliochezwa Oktoba mosi kwenye Uwanja wa Taifa, timu hizo zilitoka sare ya kufungana bao 1-1, yaliyofungwa na Amisi Tambwe kwa Yanga na Shiza Kichuya kwa Simba.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -