Monday, October 26, 2020

LULU AKIRI ‘KUOZA’ KWA DARASA

Must Read

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa...

NA BRIGHITER MASAKI, TSJ

MSANII wa filamu nchini, Elizabeth Michael ‘Lulu’, amekiri kupagawishwa na mkali wa Hip Hop, Darasa kutokana na jinsi alivyobamba mwaka jana.

Akizungumza Dar es Salaam juzi, Lulu alisema kwa mwaka 2016, Darasa ndiye aliyekonga zaidi moyo wake kutokana na nyimbo zake nzuri.

“Aendelee kukonga nyoyo zetu, atupe vitu vizuri, yeye ndiye jembe letu na anazidi kufanya vizuri, kwa kifupi Darasa ametuteka haswa kwa wimbo wake wa Maisha na Muziki pamoja na Too Much,” alisema Lulu.

Mkali huyo wa filamu aliwataja wasanii wengine wa muziki waliokonga moyo wake mwaka jana kuwa ni Sauti Soul kutoka Kenya na wimbo wao wa Kuliko Jana.

Lulu ni mmoja wa wasanii wa filamu wa kike wanaotamba nchini kutokana na umahiri wake katika fani hiyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake za Pluto Republic, prodyuza nyota...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa Bongo Fleva kuendelea kulipa sapoti...

JB Maeba atimiza ndoto zake na Cannibal

NA CHRISTOPHER MSEKENA MSANII wa Afro Pop na Bongo Fleva anayeishi Kenya, James Tesha a.k.a JB Maeba, amesema anafurahi...

‘Certified Lover Boy’ ya Drake yaiva

TORONTO, CANADA RAPA nyota ulimwenguni, Aubrey Graham maarufu kama Drake, ametangaza habari njema ya ujio wa albamu yake ya...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -