Sunday, November 29, 2020

LULU DIVA AWATULIZA MASHABIKI

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ESTHER GEORGE

KUFUATIA kutajwa kwenye orodha ya watuhumiwa wanaojihusisha na dawa za kulevya, staa wa Bongo Fleva, Lulu Abbas ‘Lulu Diva’, amewataka mashabiki kusahau yaliyopita na kuendelea kusapoti kazi zake.

Lulu Diva, ambaye yupo kwenye lebo ya Bangerz inayomilikiwa na Mubenga, ameliambia BINGWA kuwa kuna baadhi ya mashabiki wameanza kupoteza imani naye hivyo amewataka watambue kwenye maisha kuna changamoto na misukosuko mingi.

“Kiukweli nina mawazo sana, baadhi ya mashabiki wangu wamevunjika moyo kutokana na matatizo yale, lakini kitu ninacho waomba wanisamehe, wajue sisi ni binadamu na kwenye maisha kuna misukosuko mingi tunayokutana nayo,” alisema Lulu Diva ambaye wiki ijayo anaachia wimbo wake mpya unaoitwa Usimuache.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -