Sunday, November 29, 2020

LWANDAMINA ATUNGIWA JINA JIPYA YANGA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ZAINAB IDDY

KOCHA George Lwandamina kule  katika klabu yake ya zamani ya Zesco, alikuwa akijulikana kwa jina la utani la Chicken, lakini wachezaji wa Yanga  wamesema hilo wao hawalitambui badala yake wakaamua kumpachika  ‘Kubwa la Maadui’

BINGWA ambalo limekuwa likifuatilia kwa karibu mazoezi ya timu hiyo kwenye Viwanja vya Gymkhana, liliwashuhudia wachezaji hao wakitumia jina la Kubwa la Maadui badala ya Lwandamina pale walipokuwa wakipeana maelekezo yaliyotolewa na kocha huyo.

BINGWA lilizungumza na mmoja wa wachezaji wa timu hiyo ili kujua kisa cha kumwita jina hilo, ambao walisema  Lwandamina amekuwa akiogopwa na kila mtu.

“Kubwa la Maadui lina maana kuwa ndiye mtu wa mwisho kwa kila kitu na anaweza kutoa amri yoyote pasipo kuhofia chochote na ikatekelezwa.

“Ukiangalia kwenye kikosi chetu kwa sasa kocha hata akikohoa, mchezaji anaanza kuhisi ameitwa au kuna kosa amefanya na muda wowote anaweza kukwambia uruke kichura chura au upige pushapu,” alisema mchezaji huyo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -