Friday, October 23, 2020

Madrid haikamatiki La Liga

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

MADRID, Hispania

BAADA ya kuibuka na ushindi wa mabao 2-0 katika mchezo wa La Liga dhidi ya Espanyol, Real Madrid wameweka rekodi ya kuwa timu iliyoshinda michezo mingi mfululizo.

Ushindi huo ni wa 16 mfululizo kwa kikosi hicho kinachonolewa na Mfaransa, Zinedine Zidane ‘Zizou’.

Awali, rekodi hiyo ilikuwa ikishikiliwa na Barcelona ambayo iliiweka katika msimu wa 2010/11.

Katika siku 200 mpaka hivi sasa, Madrid haijapoteza mchezo wowote wa ligi.

Kwa mara ya mwisho Madrid ambayo ndiyo kinara wa msimamo wa ligi msimu huu, walichezea kichapo Februari 27.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -