Tuesday, November 24, 2020

MADRID WANAMHITAJI RONADO KUWEKA REKODI YA MABAO

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

MADRID, Hispania


REAL Madrid wameuanza vizuri msimu huu wa 2016-17. Mpaka sasa kikosi hicho cha kocha Zinedine Zidane, kimeshafunga mabao 21 katika mechi saba za ugenini.

Kwa takwimu hizo, Madrid wana wastani wa kupasia nyavu mara tatu katika kila mchezo wanaoshuka dimbani.

Kwa mwendo huo, wakali hao wa Bernabeu wanaikaribia rekodi iliyowekwa na Athletic Club katika msimu wa 1932-33.

Kikosi cha sasa cha Madrid kinachoongozwa na mpachikaji mabao hatari, Cristiano Ronaldo, kinadaiwa mabao saba pekee kufikia kile cha Athletic Club.

Katika mechi tisa za La Liga wakiwa ugenini, klabu hiyo ilifunga jumla ya mabao 28 na rekodi hiyo imedumu kwa kipindi kirefu.

Ili kuifuta rekodi ya sasa ya Athletic Club, Madrid wanatakiwa kufunga zaidi ya mabao saba katika michezo dhidi ya Sevilla na Celta.

Mpaka sasa mshindi wa tuzo ya Ballon d’Or, Ronaldo ameshawafungia Madrid mabao saba.

Mshambuliaji mwenzake, Karim Benzema, anafuata akiwa ameshawatungua walinda mlango mara tatu na hivyo inaonyesha ni jinsi gani Ronaldo amekuwa muhimu zaidi kwenye safu ya ushambuliaji.

Ni wazi Madrid wanamhitaji Ronaldo kuwa fiti ili waweze kuipiku rekodi ya Athletic.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -