Tuesday, October 27, 2020

MAHADH AULA KWA ZAHERA

Must Read

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo,...

Katwila: Sitaidharau Mbeya City

NA VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Ihefu, Zuberi Katwila, amesema hawaraidharau  Mbeya City...

NA MICHAEL MAURUS, MOROGORO


 

KIUNGO mshambuliaji wa Yanga, Juma Mahadh, ameonekana kumkuna mno kocha mkuu wa timu hiyo, Mwinyi Zahera ambaye ameanza kumzoesha kucheza namba mbili ili kuwa mbadala wa Juma Abdul.

Akizungumza na BINGWA mjini hapa juzi, Zahera alisema amekuwa akivutiwa mno na Mahadh kwani ana nguvu, kasi na uwezo wa kupiga krosi za hatari.

Alisema kutokana na hilo, ameona ni vema kumtumia kama beki wa kulia kwa kuwa Abdul yupo peke yake, akiamini hatamwangusha katika hilo.

“Ni kweli Abdul anahitaji kupata msaidizi, …(anamtaka mchezaji mmoja kinda aliyepanga kumpa nafasi hiyo), bado hajakomaa kiakili, anahitaji kujifunza zaidi, kwa muda huu nitaendelea kumwandaa Mahadh.

“Uliona katika mazoezi ya jana na leo (Ijumaa na Jumamosi), nilimuweka (Mahadh) acheze kama beki wa kulia, naamini atafanya vizuri.

“Mahadhi anaweza kuisaidia sana timu akicheza beki ya kulia maana ana kasi na nguvu na pia anapiga krosi nzuri,” alisema Zahera.

Baada ya kuondoka kwa Hassan Kessy, nafasi ya beki wa kulia katika kikosi cha Yanga imebakiwa na ‘mkongwe’ Abdul.

 

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...

Katwila: Sitaidharau Mbeya City

NA VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Ihefu, Zuberi Katwila, amesema hawaraidharau  Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu...

Kocha apokea kipigo kwa shingo upande

 NA  VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Mwadui, Khalid Adam, amesema amesikitishwa na kipigo cha mabao 6-1 kutoka kwa...

KMC kumaliza hasira kwa Gwambina

NA WINFRIDA MTOI BAADA ya kuchezea kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Yanga, kocha msaidizi wa timu ya Manispaa...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -