Friday, December 4, 2020

Mahadhi apania kurejesha namba yake

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA JESSCA NANGAWE

WINGA wa Yanga, Juma Mahadhi, amesema  yupo fiti kurejea dimbani  pindi Ligi Kuu Tanzania Bara itakaporejea baada ya kukaa nje misimu miwili mfululizo.

Mahadhi ambaye alipata majeraha ya kuvunjika goti katika mchezo wa kimataifa dhidi ya USM Alger kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam, alisema anafurahi kuona hali yake imerudi kawaida na si majeruhi tena.

 Akizungumza na BINGWA winga huyo alisema kukaa nje muda mrefu kumemfanya apoteze jina lake kwa mashabiki, hivyo anaamini huu ni wakati wa kurudi kwa kishindo tena.

“Sikupata bahati ya kucheza muda mrefu, nilimekuwa shabiki wa jukwaani, nafurahi daktari wangu ameridhika  na ninaendelea  vizuri kujifua kuhakikisha narudisha namba yangu ndani ya kikosi cha Yanga,’alisema Mahadhi.

Aidha Mahadhi ameongeza kuwa licha ya Yanga huenda wakakosa ubingwa wa Ligi Kuu Bara msimu huu lakini wana nafasi kubwa ya kuchukua taji la Kombe la Shirikisho la Azam.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -