Tuesday, October 27, 2020

MAJANGA MAPYA YAIBUKA LIVERPOOL

Must Read

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa...

MERSEYSIDE, England


 

KOCHA wa timu ya Liverpool, Jurgen Klopp, amekiri kuwa safu yake ya ulinzi ina tatizo kubwa kwani watu wa uhakika alionao ni Virgil van Dijk na Joe Gomez tu.

Liverpool inatarajiwa kucheza mechi yake ya mwisho ya ‘pre-season’ leo dhidi ya Torino, kabla ya kufungua pazia la Ligi Kuu England watakapokutana na West Ham wikiendi hii.

Mabeki Joel Matip anayeumwa nyonga na Ragnar Klavan anayeumwa msuli wa paja, walikosa mchezo wa kirafiki uliochezwa wikiendi iliyopita, Liverpool ikiitandika Napoli mabao 5-0.

Na walinzi hao hawana uhakika wa kucheza leo dhidi ya Torino, mchezo utakaochezwa kwenye Dimba la Anfield.

“Matip bado hatujajua yuko vipi, Klavan naye sidhani kama anaumwa sana lakini sijajua bado iwapo Jumanne (leo) itakuwa mapema kwao kucheza,” alisema Klopp.

Mlinzi wa Croatia, Dejan Lovren, alirejea Liverpool jana akitokea mapumziko baada ya kumaliza majukumu ya Kombe la Dunia, lakini  haonekani kama atacheza dhidi ya Torino na West Ham.

“Lovren hajafanya mazoezi na wenzake, hatacheza Jumanne na kuhusu Jumapili pia ni ngumu kwake kucheza. Mechi mbili za ligi kwa walioshiriki Kombe la Dunia ndizo zitakuwa ‘pre season’ yao,” alisema Klopp.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake za Pluto Republic, prodyuza nyota...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa Bongo Fleva kuendelea kulipa sapoti...

JB Maeba atimiza ndoto zake na Cannibal

NA CHRISTOPHER MSEKENA MSANII wa Afro Pop na Bongo Fleva anayeishi Kenya, James Tesha a.k.a JB Maeba, amesema anafurahi...

‘Certified Lover Boy’ ya Drake yaiva

TORONTO, CANADA RAPA nyota ulimwenguni, Aubrey Graham maarufu kama Drake, ametangaza habari njema ya ujio wa albamu yake ya...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -