Thursday, December 3, 2020

MAJANGA YAMGANDA SERENA WILLIAMS

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

LOS ANGELES, Marekani

MWANADADA mwenye jina kubwa kwenye ulimwengu wa mchezo wa tenisi, Serena Williams, ametangaza kujitoa michuano ijayo ya BNP Paribas Open huku sababu kubwa ikiwa ni majeraha ya goti.

Kuna uhakika mkubwa wa Serena kupoteza nafasi yake ya kwanza kwenye viwango vya ubora duniani, kwani mpinzani wake Angelique Kerber atashiriki mashindano hayo.

“Sijaweza kufanya mazoezi kutokana na majeraha ya goti na nimesikitika kuikosa. Nitaendelea kuamini na kuangalia mbele. Naangalia ni jinsi gani nitakavyorejea mapema niwezavyo.”

Serena hajashiriki michuano ya WTA Tour tangu aliposhinda Australian Open Januari mwaka huu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -