Saturday, October 31, 2020

Majeraha kumnyima Robben mechi mbili

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

MUNICH, Ujerumani

STAA wa kimataifa wa Uholanzi, Arjen Robben, atalazimika kuikosa baadhi ya michezo ya kuwania kufuzu Fainali za Kombe la Dunia za mwaka 2018.

Kocha Danny Blind amemtema nyota huyo wa Bayern Munich katika kikosi cha sasa na kuna uwezekano mkubwa wa kukosa mechi mbili zijazo.

Winga huyo hatokuwa sehemu ya kikosi cha Uholanzi kitakachocheza michezo dhidi ya Belarus na Ufaransa.

“Nilizungumza na Arjen asubuhi hii (jana), hatokuwepo. Hayuko sawa na ni majanga,” alisema Blind akimzungumzia Robben mwenye umri wa miaka 32.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -