Wednesday, November 25, 2020

MAJERAHA YAMKOSESHA MKOPI ULAJI SAUZI

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA MARTIN MAZUGWA

MSHAMBULIAJI wa Mbeya City, Mohamed Mkopi, ameshindwa kujiunga na miamba ya Ligi Kuu ya Afrika Kusini, Klabu ya Amazulu, kutokana na kukumbwa na majeraha ya goti na kukosa ulaji.

Nyota huyo wa zamani wa Mtibwa Sugar na Tanzania Prisons, alimaliza msimu uliopita akiwa na mabao 10 na kushindwa kutimkia katika klabu hiyo kutokana na kuwa majeraha.

Akizungumza na BINGWA jana, Mkopi alisema kitendo cha kuwa nje ya uwanja kwa muda mrefu kumempotezea ulaji wa kwenda kusakata kabumbu nje ya mipaka ya Tanzania na kutimiza ndoto zake.

“Nilikuwa na ofa mbili moja katika Klabu ya Fanja na nyingine Amazulu, lakini iliyokuwa tayari ni ya Afrika Kusini ambayo ilionyesha kunihitaji zaidi,” alisema Mkopi.

Alisema baada ya kuwa nje kwa kipindi kirefu hatimaye kwa sasa hali yake imeimarika na amefungua milango kwa klabu yoyote inayomhitaji wakae chini wazungumze.

Mkopi alisema bado lengo lake liko pale pale la kwenda kucheza soka nje ya nchi, kwani wakala wake ameanza kumtafutia timu ya kuchezea nchini Oman na Afrika Kusini.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -