Wednesday, October 28, 2020

MAJIMAJI WAFICHA VIFAA VIPYA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA SALMA MPELI


MAJIMAJI wameamua kufanya usajili kimya kimya katika dirisha dogo la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, ili wasihujumiwe na timu nyingine.

Akizungumza na BINGWA jana, Mwenyekiti wa Majimaji, Humphrey Milanzi, alisema usajili wao unafanyika kimya kimya, ili timu nyingine zisiwavurugie.

Milanzi alisema wanahitaji kuongeza nguvu katika idara ya ulinzi, kipa na ushambuliaji, kwani tayari wameanza mazungumzo na wachezaji wanaowahitaji.

Hata hivyo, mwenyekiti huyo alikataa  kutaja majina ya wachezaji ambao wanawawania kwa kuwa wanaendelea na mazungumzo ya kuwashawishi kujiunga na timu yao.

“Tumeanza mazungumzo na wachezaji na yakikamilika tutatangaza rasmi kikosi, lakini kwa sasa tunahofia kuhujumiwa,” alisema Milanzi.

Baadhi ya wachezaji wanaowaniwa na klabu hiyo ni Salum Aboubakary ‘Sure Boy’, John Bocco na Agrey Morris,   ambao wamependekezwa na kocha mkuu wa timu hiyo, Kali Ongala.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -