Friday, October 23, 2020

MAKEKE ATUMIA UNGO KUUTAMBULISHA UTANZANIA

Must Read

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian...

KELVIN SHANGALI NA JEREMIA ERNEST


MBUNIFU wa mavazi ya asili nchini, Jocktan Maluli ‘Makeke’, amefunguka kuwa ubunifu wa nguo kwa kutumia ungo ni njia ya kutambulisha asili ya Mtanzania kupitia makabila yao tofauti.

Akizungumza na Papaspo la Burudani jana jijini Dar es Salaam, Makeke, alisema kwa muda mrefu alikuwa anafikiria vazi gani linaweza kutumiwa na Watanzania akagundua ungo ni kifaa kinachotumika na makabila mengi.

“Ungo unatumiwa na makabila tofauti kwa kazi mbalimbali, wengine wanatumia kwa kupikia, kuhifadhi vitu kufanyia mila nk, nikaona nikitengenezea nguo itakuwa vazi la Watanzania wote,” alisema Makeke.

Aliongeza kuwa vazi hilo limepokewa vizuri katika jamii wakiwamo mastaa aliowahi kuwavalisha kama vile Daudi Michael ‘Duma’, Harmonize, Mrisho Mpoto, Profesa Jay, Monalisa na Queen Darleen.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Fati aweka rekodi Barcelona

CATALUNYA, Hispania ANSU Fati ameweka rekodi ya mchezaji kinda wa kwanza kufunga mabao...

Lampard amshika mkono Silva

MANCHESTER, England KOCHA wa Chelsea, Frank Lampard, amesema atamtumia, Thiago Silva, katika mechi nyingi msimu huu licha ya kuwa na umri wa miaka...

Tuchel awatolea uvivu Mbappe, Neymar

PARIS, Ufaransa KOCHA wa PSG, Thomas Tuchel, amechukizwa na kiwango kibovu walichoonyesha mastaa wa timu hiyo, Kylian Mbappe na Neymar, kwenye mechi...

IBRA:Kifaa kipya Konde Gang aliyetembea kwa mguu kumwinda Harmonize

NA BRIGHITER MASAKI UKITAJA vijana wanaofanya vizuri katika mziki wa bongo fleva, huwezi kukosa kumtaja msanii chipukizi anayefahamika zaidi...

Jay-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas

-Z: Mama aliingilia bifu langu na Nas New York, Marekani HAKUNA shabiki wa Hip hop asiyelifahamu...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -