Sunday, November 29, 2020

DIDA, BARTHEZ WAJENGWA KISAIKOLOJIA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA HUSSEIN OMAR

MAKIPA wa Yanga, Deogratius Munish ‘Dida’ na Ali Mustapha ‘Barthez’, wameanza kujengwa kisaikolojia kabla ya kukutana na Simba katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara, utakaochezwa Jumamosi kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Kocha wa makipa wa timu hiyo, Juma Pondamali, amewataka Dida na Barthez kuondoa wasiwasi na kuendelea kujiamini kuelekea mchezo huo.

Pondamali alisema makipa wake wanatakiwa kuichukulia mechi ya Simba kama nyingine ya ligi kuu.

Alisema hawatakiwi kuwa na presha  kwa kulifikiria pambano hilo.

“Presha wawe nayo mashabiki na wapenzi, lakini wachezaji hilo lisiwepo ni pambano la kawaida sana hakuna sababu ya kukosa usingizi wala kuwaza sana tutawapiga tu,” alisema Pondamali.

Alisema enzi zake anadaka alikuwa anaifurahia mechi ya watani wa jadi, kwani ilikuwa ni sehemu yake kujichukulia umaarufu ‘ujiko’ kwa kudaka vizuri.

“Mimi enzi zangu ujiko nilikuwa napata katika mechi hizi nilikuwa nadaka kweli kweli kwanza nilikuwa sitaki mchezo, sijawahi kufungwa bao la kijinga hata siku moja,” alisema Pondamali.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -