Friday, November 27, 2020

MAMBO 10 USIYOYAJUA KUHUSU DENIS ONYANGO

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

KAMPALA, Uganda

NI mlinda mlango wa siku nyingi katika soka la Ukanda wa Afrika Mashariki. Hivi karibuni, alitangazwa kuibuka kidedea kwenye kinyang’anyiro cha kuwania tuzo ya Mchezaji Bora wa Ligi za Ndani kwa mwaka 2016.

Huenda kuna mengi usiyoyajua kuhusu mlinda mlango huyo wa zamani wa SC Villa ambaye kwa sasa anafaidi maisha akiwa na Mamelodi Sundown ya Afrika Kusini.

  1. Alizaliwa Mei 15, 1987 jijini Kampala, Uganda.
  2. Akiwa na umri wa miaka 31 kwa sasa, mwaka huu atashiriki Afcon 2017 kwa mara ya kwanza katika historia ya maisha yake ya soka.
  3. Katika jumla ya mechi sita za kuwania tiketi ya kushiriki michuano hiyo, aliruhusu mabao mawili pekee.
  4. Onyango anashika nafasi ya 10 katika orodha ya walinda mlango bora duniani. Hiyo ni kwa mujibu wa Shirikisho la Kimataifa la Historia na Takwimu za Soka.
  5. Mechi iliyomtoa na kujihakikishia namba kwenye kikosi cha Uganda ilikuwa ni dhidi ya Cape Verde mwaka 2005.         Mchezo huo ulikuwa wa kuwania kufuzu fainali za kombe la dunia za mwaka uliofuata.
  1. Kama hujui, Onyango ndiye nahodha msaidizi wa timu ya Taifa ya Uganda ‘The Cranes’.
  2. Katika kikosi cha Mamelodi Sundowns, anawasugulisha benchi walinda mlango Wayne Sandilands (Msauzi), Kennedy Mweene (Mzambia), na Thela Ngobeni (Msauzi).
  3. Shirikisho la Soka Uganda (Fufa) lilimpa Onyango eneo kubwa la ardhi baada ya kuwa Mganda wa kwanza kushinda taji la Klabu Bingwa Afrika akiwa na Mamelodi Sundowns.
  4. Kocha Milutin Sredojevic ni shabiki mkubwa wa Onyango na mara kadhaa amekuwa akikiri kuvutiwa na uwezo wake langoni.
  5. Onyango ni mmoja kati ya walinda mlango wenye thamani kubwa Ligi Kuu Afrika nchini Kusini. Analipwa kitita cha Randi milioni 3.5 (zaidi ya milioni 500 za Kitanzania).

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -