Tuesday, October 27, 2020

MAMBO YAZIDI KUNOGA BSS

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

SHINDANO la Bongo Star Search (BSS), linazidi kuchanja mbuga kuelekea kumpata mshindi wa mwaka huu baada ya jana washiriki wengine wawili kutupiwa virago vyao kwenye mashindano hayo. Shindano hilo linaloandaliwa na Kampuni ya Benchmark Production liko katika awamu ya nane mwaka huu likipewa sapoti kubwa ya udhamini wa Salama Condom, kinywaji cha Coca Cola pamoja na kampuni ya ndege ya Fast Jet.

Washiriki walioaga mashindano hayo ambayo yalikuwa katika hatua ya 10 bora ni Furaha Charles kutokea mkoani Mbeya pamoja na Emmy Wimbo wa Dar es Salaam. Washiriki hao walitolewa kwa kuwa kura zao hazikutosha lakini walionesha uwezo mkubwa wa kuimba hasa kutokana na mafunzo waliyopewa na walimu wa shindano hilo.

Jaji Mkuu wa BSS, Ritha Paulsen, akizungumzia kwa hatua iliyofikia shindano hilo kwa sasa alisema mambo yanazidi kupamba moto na kuwataka wananchi kuwapigia kura washiriki wanaowataka kuendelea kuwapo kwenye shindano hilo.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -