Tuesday, November 24, 2020

MAMILIONI YA CAF YAMTIA WAZIMU BOSSOU

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA HUSSEIN OMAR

BEKI wa kimataifa wa Yanga, Vicent Bossou, amesema wanafahamu faida ya kufanya vizuri katika michuano ya Ligi ya Mabingwa Afrika ikiwemo timu kupata fedha nyingi hivyo watahakikisha wanaifunga Zanaco katika mchezo wa marudiano wikiendi hii jijini Lusaka.

Bossou ameliambia BINGWA kuwa lengo lao ni kuhakikisha wanashinda mchezo wa marudiano na kufuzu hatua ya makundi ya ligi hiyo na si vinginevyo.

“Kumbuka tunapocheza ugenini ni tofauti na tunapocheza nyumbani kwa maana presha ya mashabiki, ugenini akili yote inakuwa pale uwanjani na si nje ndio maana nina uhakika tuna fursa ya kusonga mbele,” alisema Bossou.

Bossou anaamini maandalizi wanayofanya kwa sasa kwa mchezo huo ndiyo yatakayowapa matokeo mazuri katika mchezo wa marudiano.

“Tumejutia matokeo ya juzi lakini nikwambie tutafanya kitu ambacho watu hawatakitarajia, lengo letu ni kushinda tu hakuna kingine na tutashinda,” alisema Bossou.

Yanga ililazimishwa sare ya bao 1-1 na Zanaco katika mchezo wa kwanza uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Taifa Dar es Salaam.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -