Tuesday, October 20, 2020

MAN CITY WAPATA PIGO TENA

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

LONDON, England


 

TIMU ya Manchester City, imepata pigo jingine la kuumia nyota wake, baada ya mlinda mlango wao, Claudio Bravo, kuumia enka akiwa mazoezini.

Staa huyo alipata majeraha hayo juzi na baada ya kufanyiwa vipimo ikabainika jeraha hilo ni kubwa na hivyo leo atasafiri kwenda mjini Barcelona kufanyiwa matibabu zaidi.

Kuumia kwa Bravo kunaifanya Man City, kubaki bila mlinda mlango mwenye uzoefu, Ederson, huku mwingine, Joe Hart, akiwa ameshauzwa Burnley kabla ya dirisha la usajili halijafungwa.

Bravo aliwasili Etihad, Agosti mwaka juzi akitokea Barcelona kwa ada inayoripotiwa kuwa pauni milioni 17 ili aweze kuchukua nafasi ya Hart kama mlinda mlango namba moja.

Hata hivyo, kutokana na makosa ambayo yamekuwa yakifanywa na staa huyo, ilimlazimu Pep Guardiola, kutafuta mbadala mwingine kwa kumsajili Ederson aliyekuwa akikipiga Benfica zikiwa ni jitihada za kuhakikisha wanatetea ubingwa wao msimu huu.

Tayari Man City wameshampoteza nyota wao mwingine, Kevin De Bruyne, ambaye atakaa nje ya uwanja kwa muda wa miezi mitatu baada ya kuumia goti.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -