Wednesday, October 28, 2020

MAN FIZO: FILAMU ZINALIPA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

NA BEATRICE KAIZA

SALUM Saleh ‘Man Fizo’ mwigizaji na mtayarishaji wa filamu amesema kuwa kwenye soko la Swahilihood kila siku linadizi kupamba moto kutokana na kazi yake kufanya vema na kumuingijia fedha za kutosha.

Akizungumza na PAPASO LA BURUDANI juzi katika uzinduzi wa filamu hiyo alisema kuwa hataki kurudi nyuma katika kazi zake na ndio maana ameamua kufanya utambulisho wa Siri ya Moyo katika jumba la sinema lililopo Jijini Dar es Salaam Quality centre.

‘’Soko la filamu linalipa kama utafanya kazi ya bidii na kutoa filamu ambazo zinaujumbe kwa jamii kwa njia ya kuburudisha na kufundisha jamii, kwa upande wangu siwezi kusema uwongo filamu ndio zinanipa jeuri kwa sasa kutokana na kazi yangu kufanya vema sokoni,’’ alisema Man Fizo

Aliongezea kwa kuwaomba mashabiki na wapenzi wa filamu waipokee kazi yake mpya ya Siri ya Moyo ambayo inaongelea usiri baina ya mtu na mtu, je ni  siri ipi inahusiana na nani kwa kupata jibu kamili  ameowamba mashabiki  wafuatilia kwa makini kwa  kujipatia nakala  ambayo kwa sasa inapatikana kila sehemu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -