Friday, October 30, 2020

MAN UNITED HAIJAWAHI KUCHUKUA LIGI YA EUROPA

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

LONDON, England

WIKI hii tulishuhudia droo ya hatua ya 32 bora ya Ligi ya Europa, ambapo Manchester United wamepangwa kucheza na St-Etienne ya Ufaransa.

Wengi wanahisi kuwa tayari kikosi hicho cha Kocha Jose Mourinho kimeshapata nafasi ya kusonga mbele, wakiamini St-Etienne hawana ubavu wa kuwazuia vijana hao wa Old Trafford.

Hata hivyo, historia inaonyesha kuwa Man United hawajawahi kulichukua taji la michuano hiyo.

Pia, Man United imekutana mara 16 na timu kutoka Ufaransa, ambapo imepoteza mchezo mmoja, imeshinda mara tisa na kutoa sare sita.

Mbali na hilo, ikumbukwe kuwa Zlatan Ibrahimovic wa Man United alikuwa Ufaransa ambako alikutana mara kadhaa na St Etienne.

Katika michezo 13 aliyoiwakilisha Paris St-Germain dhidi ya St Etienne,  straika huyo wa kimataifa wa Sweden alipachika mabao 14.

Tangu mwaka 2013, taji la michuano ya Ligi ya Europa limekuwa likichukuliwa na Sevilla.

Fowadi wa Atletic Bilbao, Aritz Aduriz, ndiye mchezaji aliyeweza kuvunja rekodi ya muda mrefu ya kufunga mabao mengi katika mechi moja ya Ligi ya Europa.

Aliingia kwenye kitabu cha kumbukumbu mwaka huu baada ya kupasia nyavu mara tano katika mchezo dhidi ya Genk.

Kwa kufanya hivyo, aliifikia rekodi ya Fabrizio Ravanelli, aliyefanya hivyo miaka 22 iliyopita.

Ravanelli alifunga mabao matano wakati timu yake ya Juventus ilipokuwa ikicheza na CSKA Sofia ya Urusi.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -