Friday, October 30, 2020

Man United yapigwa stop kwa Suarez

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

CATALUNYA, Hispania

RAIS wa Barcelona, Josep Maria Bartomeu, ametamka wazi kuwa klabu yake hiyo haina mpango wa kumruhusu staa wao, Luis Suarez, ambaye anatajwa kuwaniwa na Manchester United.

Kuchemsha kwa Zlatan Ibrahimovic na Wayne Rooney, kumemfanya Kocha Jose Mourinho kufikiria uwezekano wa kusajili straika mpya.

“Kwangu (Suarez) ni bonge la straika hapa Ulaya na tunataka kuwa naye.

“Kwa sasa, tunajaribu kumuongezea mkataba na mmoja kati ya wachezaji wetu wa baadaye kwa sababu bado ni kijana, ana ndoto,” alisema Bartomeu.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -