Saturday, January 16, 2021

NYOTA SOUTHAMPTON AMCHOKOZA BALOTELLI

Must Read

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi...

LONDON, England

HUENDA staa mpya wa Southampton  ya Ligi Kuu England, Mario Lemina, akajikuta kwenye bifu na Mario Balotelli baada ya kuanzisha uhusiano wa kimapenzi na mwanadada Fanny Neguesha.

Wadadisi wa mambo wamenyetisha kwamba kwa tabia za ukorofi za Balotelli, kuna uwezekano mkubwa wa kuanzisha vita ya maneno na nyota huyo wa zamani wa Lorient, Marseille na Juventus.

Imeelezwa kamba hata kisa cha Balotelli kubwagana na Neguesha mwaka 2014 ni wivu aliokuwa nao mwanasoka huyo wa kimataifa wa Italia.

Katika siku za hivi karibuni, Balotelli amekuwa na uhasama na kocha wake wa Nice, hasa baada ya kufanya vibaya katika mchezo wa kufuzu Ligi ya Mabingwa Ulaya dhidi ya Napoli.

 

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -