Tuesday, October 20, 2020

Mane mchezaji bora wa mwezi

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

MERSEYSIDE, England

MSHAMBULIAJI Sadio Mane, amenyakua tuzo ya mchezaji bora wa Agosti na Septemba wa Ligi Kuu England, akiwashinda Kevin De Bruyne na Etienne Capoue.

Jumla ya kura 78,000 zilipigwa ambazo zilifanyika kwenye mtandao wa Sky Sports na huduma nyingine, Mane akishinda kura 38,199.

Nyota wa Manchester City, De Bruyne, alishika nafasi ya pili akiwa na kura 24,340, huku kiungo wa Watford, Capoue akishika nafasi ya tatu kwa kupata kura 6,256.

Wengine waliokuwemo kwenye sita bora ni Diego Costa (4,247), Michail Antonio (3,116) na Curtis Davies (1,837).

Wachezaji hao walichaguliwa na wataalamu wa soka, wakiwemo wachambuzi wa Sky Sports, Ian Holloway, Peter Beagrie na Paul Merson, meneja mkuu wa waamuzi, Mike Riley na mwenyekiti wa shirikisho la mashabiki, Malcolm Clarke.

Mane, ameanza vizuri katika kikosi hicho cha Anfield akipachika mabao matatu na kutoa pasi moja ya bao.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -