Tuesday, November 24, 2020

MANULA AWAPIGA DONGO KIAINA KASEJA, DIDA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA WINFRIDA MTOI,

KIPA wa Azam FC, Aishi Manula, ametoa siri ya kiwango chake kwa  kusema kinachangiwa na utaratibu mzuri wa mazoezi aliyojipangia ambao haufanani na wa makipa wengine wa  Ligi Kuu Kuu Bara, wakiwamo Deogratias Munishi ‘Dida’ na Juma Kaseja.

Manula amekuwa katika kiwango bora tangu kuanza kwa mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara, ambapo katika mechi saba alizocheza hajaruhusu bao hata moja wakati Dida amefungwa mabao mawili huku Kaseja mabao manne.

Akizungumza na BINGWA, Manula alisema tofauti na makipa wengine yeye huzingatia mafunzo aliyopewa na makocha wake katika mazoezi ya pamoja, lakini hana utaratibu wa kufanya mazoezi binafsi wakati wa mapumziko.

“Mimi ni tofauti kabisa na makipa wengine  kama Dida au Kaseja, kwa sababu sifanyi mazoezi sana kama wanavyofanya wenzangu ambao wanaonekana sehemu mbalimbali au kwa kutupia picha mitandaoni wakijifua ili kuimarisha viwango vyao.

Kawaida yangu nikimalizana na mwalimu wangu naenda zangu kuoga na kupumzika hadi siku nyingine,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -