Tuesday, October 27, 2020

MANYIKA AVUNJA MKATABA SINGIDA UNITED

Must Read

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo,...

NA SALMA MPELI


KIPA wa Singida United, Manyika Peter ‘Junior’, amejiondoa katika kikosi cha timu hiyo kutokana na kile kinachodaiwa ni kushindwa kulipwa malimbikizo ya madeni.

Manyika alisajiliwa na Singida msimu uliopita kwa mkataba wa miaka miwili akitokea Simba, tayari ameondoka katika kambi ya timu hiyo na kwa sasa amerejea jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na BINGWA jana, Manyika, alisema alikiri kuondoka kwenye kambi hiyo huku akishindwa kuweka wazi sakata hilo kwa madai hawezi kuzungumza mpaka atafute meneja wake.

“Nipo nyumbani, lakini kuhusu suala langu na Singida mimi si mwongeaji lakini ukizungumza na Meneja wangu baba Peter Manyika yeye ndiye atatoa ufafanuzi zaidi juu ya hilo,” alisema Manyika Jr.

Alipotafutwa Peter Manyika alikiri mwanawe huyo kujiengua kwenye kikosi hicho baada ya kukiuka masharti ya mkataba kwa kushindwa kumlipa fedha zake za usajili.

Alisema mchezaji huyo amerudi kwenye kituo kilichomlea kwa ajili ya kujifua huku akisubiri dirisha dogo la usajili ajiunge ya timu nyingine baada ya ya Singida United kuvunja mkataba.

“Ni kweli Manyika hayupo na kikosi cha Singida United, amejiondoa baada ya timu hiyo kukiuka vipengele vya mkataba kutokana na kushindwa kumlipa fedha zake za usajili.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...

Katwila: Sitaidharau Mbeya City

NA VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Ihefu, Zuberi Katwila, amesema hawaraidharau  Mbeya City katika mchezo wa Ligi Kuu...

Kocha apokea kipigo kwa shingo upande

 NA  VICTORIA GODFREY KOCHA wa timu ya Mwadui, Khalid Adam, amesema amesikitishwa na kipigo cha mabao 6-1 kutoka kwa...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -