Friday, December 4, 2020

Manyika Jr atamani kurejea Taifa Stars

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA ZAINAB IDDY

KIPA wa Polisi Tanzania, Manyika Peter  ‘Manyika Jr’,   amesema anapambana kuhakikisha anakuwa katika kiwango bora ili aweze kurejea Taifa Stars.

Mayika Jr  aliwahi kuidakiwa timu ya Simba msimu wa 2014/15 na  mara ya mwisho  kuitwa Taifa Stars ilikuwa  mwaka 2017  ilipocheza na Malawi.

Akizungumza na BINGWA jijini Dar es Salaam, Manyika Jr  kwa kipindi cha miaka mitatu sasa hayupo katika kikosi cha  Stars jambo ambalo  linalomkosesha raha.

“Mimi kama Mtanzania nina wajibu kwenye timu yangu ya Taifa  ili nipate nafasi ya kucheza natakiwa niwe bora wakati wote  na kumshawishi kocha wa Stars kuniita.

 “Kwa sasa nafanya mazoezi ya timu na binafsi na ninawashirikisha watu mbalimbali walionitangulia katika soka kwa lengo la kupata ujuzi mwingi zaidi,” alisema Manyika Jr.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -