Sunday, January 17, 2021

MAPUNDA BOSI MPYA FRAT

Must Read

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi...

NEW

NA RAMADHAN HASSAN, DODOMA

MWAMUZI wa zamani, Joseph Mapunda, amechaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa Chama cha Waamuzi Tanzania (FRAT) baada ya kufanyika kwa uchaguzi juzi.

Akitangaza matokeo hayo, mjini hapa, makamu mwenyekiti wa kamati ya uchaguzi FRAT,  Benjamini Kalume, alisema Mapunda alipata kura zote  36 za ndiyo kutokana na kuwa mgombea pekee.

Katika uchaguzi huo, Charles Kapunga alichakuliwa kuwa katibu mkuu wa chama hicho baada ya kupata kura 21 dhidi ya mpinzani wake Abdallah Mitole aliyepata kura 15.

Mchakato wa kumpata katibu huyo ulirudiwa, baada ya Kapunga kupata kura 18,  Mitole kura 16 na John Ndimbo kura mbili.

Allanus Lwena alichaguliwa kuwa mwakilishi wa mkutano mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania  (TFF) baada ya  kura 22 na mpinzani wake Kimwaga Tambwe  kura 14.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Usiyoyajua sare ya Leicester, United

NI katika mechi ya Ligi Kuu ya England iliyomalizika kwa sare ya mabaon 2-2.-Man United wamemiliki mpira...

Eti Zidane anapangiwa kikosi!

IMEFICHUKA kuwa wachezaji waandamizi wa Real Madrid walikaa kikao na Zinedine Zidane kumwambia wachezaji anaopaswa kuwapanga na ndiyo maana timu hiyo imeshinda...

DIDA ASAINI IHEFU FC

Golikipa wa zamani wa Yanga na Simba, Deogratius Munishi ‘Dida’ amejiunga na Timu ya Ihefu inayoshiliki Ligi Kuu Tanzania Bara katika kipindi...

JDart Nation wapanga kutawala Africa

CHRISTOPHER MSEKENA MWANAMUZIKI na bosi wa JDart Nation, JDart, amesema miongoni mwa mipango yake kwa mwaka 2021 ni kuhakikisha...

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki za Ligi Kuu Tanzania Bara...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -