Monday, October 26, 2020

Maradona ampigia simu ya pole Mourinho

Must Read

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa...

LONDON, England

KOCHA Jose Mourinho amesema juzi alipokea  simu ya kumpa pole kutoka kwa nyota wa zamani, Diego Maradona, mara baada ya timu yake ya  Manchester United kupata sare iliyomchanganya dhidi ya Arsenal.

Kocha huyo wa Man United alisema juzi kuwa, alipokea simu hiyo kutoka mshindi huyo wa Kombe la Dunia mwaka 1986, kutokana na sare hiyo ya bao  1-1  wakiwa kwenye Uwanja wao wa Old Trafford, ambapo straika  Olivier Giroud alisawazisha dakika za mwisho bao lililofungwa na  Juan Mata na hivyo kuiokoa Gunners isiambulie kipigo.

Akizungumzia simu hiyo, Mourinho alituma ujumbe kwenye mtandao wake wa kijamii wa  Instagram  ukiwa na picha aliyokumbatiwa na Maradona katika moja ya sherehe ikiwa na ujumbe usemao: “Baada ya kuonesha kiwango kizuri, lakini tukapata matokeo mabaya, nilipokea simu kutoka Mfalme Diego”.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Boni Mwaitege amkalisha Mgogo

NA VALERY KIYUNGU KUPITIA shindano la Nani Zaidi linaloendeshwa na redio Passion Fm ya...

Mzuka warudi tena kwa s2kizzy

NA CHRISTOPHER MSEKENA SIKU chache baada ya kuvamiwa na kufanyiwa uharibifu wa studio zake za Pluto Republic, prodyuza nyota...

The Yeamen waipiga ‘Shoti’

NA JEREMIA ERNEST MSANII kutoka kundi la The Yeamen, Suma Toto, amewaomba mashabiki wa Bongo Fleva kuendelea kulipa sapoti...

JB Maeba atimiza ndoto zake na Cannibal

NA CHRISTOPHER MSEKENA MSANII wa Afro Pop na Bongo Fleva anayeishi Kenya, James Tesha a.k.a JB Maeba, amesema anafurahi...

‘Certified Lover Boy’ ya Drake yaiva

TORONTO, CANADA RAPA nyota ulimwenguni, Aubrey Graham maarufu kama Drake, ametangaza habari njema ya ujio wa albamu yake ya...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -