Wednesday, October 28, 2020

MARIANO ATAIWEZA JEZI YA RONALDO MADRID?

Must Read

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya...

MADRID, Hispania


BAADA ya Real Madrid kumrudisha mshambuliaji wao, Mariano Diaz, kutoka Lyon na kinda huyo kupewa jezi namba saba, swali linalokuja ni je, ataiweza jezi hiyo iliyoachwa na Cristiano Ronaldo?

Ronaldo alikuwa ndiye mkongwe wa mwisho kubeba mzigo mzito wa jezi hiyo iliyowahi kuvaliwa na magwiji wengine wa Madrid, Raul Gonzalez, Emilio Butragueno na Juanito.

Awali kulikuwa na uwezekano kwamba jezi hiyo isingetumika msimu huu, lakini Mariano aliamua kutoikimbia changamoto hiyo.

Straika huyo anatarajiwa kutambulishwa leo katika dimba la Santiago Bernabeu, akiwa na jezi namba saba mgongoni, tayari kwa kuitumikia Madrid chini ya kocha, Julen Lopetegui.

Jana ndiyo siku aliyopimwa afya na kufaulu vipimo hivyo, kabla ya kukutana na wachezaji wenzake na timu nzima ya makocha wa Real Madrid.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Hamilton avunja rekodi Ureno

LISBON, Ureno STAA wa mbio za magari Lewis Hamilton, amevunja rekodi ya Valtteri...

Ronaldinho naye ana Corona

RIO, Brazil MKONGWE wa Brazil, Ronaldinho, amethibitishwa ana virusi vya corona. Ronaldinho aliandika ujumbe kupitia ukurasa wake wa...

Sterling amlilia kinda wao Man City

MANCHESTER, England WINGA wa Manchester City, Raheem Sterling, ameandika ujumbe wa majonzi baada ya kinda wa zamani wa timu...

Afua Suleiman afunguka ‘Utalijua Jiji’ ilivyompa ustaa mjini

NA JEREMIA ERNEST JINA alilopewa na wazazi wake ni Afua Suleiman na hata alipojitupa kwenye ulimwengu wa muziki wa...

Keche: Kundi maarufu Ghana linalowatamani Diamond, Kiba, Harmonize

JIACHIE na Staa Wako, wiki hii tumetua mpaka Accra, Ghana kwa kundi maarufu la muziki nchini humo, Keche linofanya vizuri na ngoma...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -