Sunday, November 29, 2020

MASHABIKI WA ARSENAL WAANZA KUCHAPANA MAKONDE

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

LONDON, England

JUZI uzalendo uliwashinda mashabiki wa Arsenal na kujikuta wakirushiana makonde wakati timu yao iking’ang’ania sare katika mchezo dhidi ya Manchester City.

Tukio hilo lilitokea kwenye mtanange huo wa Ligi Kuu England ambapo timu hizo zilitoka sare ya mabao 2-2.

Kipande cha video kilichorusha tukio hilo kinawaonyesha mashabiki watatu wa Arsenal wakivaana huku chanzo cha utata huo kikihisiwa kuwa ni matokeo hayo.

Akizungumzia kilichotokea, Wenger ambaye amekuwa kwenye wakati mgumu, aliliambia gazeti la Standard kuwa hajui kilichotokea.

Majanga hayo yametokea huku kukiwa na shinikizo kubwa kutoka kwa mashabiki wanaotaka kuona uongozi wa Arsenal ukiachana na mzee Wenger.

Kwa kipindi kirefu Wenger amekuwa katika shinikizo hilo la kutakiwa aondoke na shinikizo hilo lilishika kasi zaidi baada ya kupata matokeo mabaya katika michuano ya Ligi ya Mabingwa kwa kuchapwa jumla ya mabao 10-2 dhidi ya Bayern Munich katika hatua ya 16 bora.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -