Saturday, November 28, 2020

MASHABIKI WAMGEUZIA KIBAO WEMA

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

ZAITUNI KIBWANA

MASHABIKI wa mwigizaji na aliyekuwa Miss Tanzania 2016, Wema Sepetu, wamemgeuzia kibao staa huyo na kumtaka kubadili mfumo wa maisha yake ili kuepukana na skendo za hapa na pale.

Mashabiki wametoa kauli hizo siku chache baada ya Wema kuachiwa kwa dhamana baada ya kupandishwa kizimbani kwa kosa la kukutwa na msokoto wa bangi na karatasi za kufungia dawa hizo za kulevya.

Wakizungumza kwenye kurasa mbalimbali za mitandao ya kijamii, mashabiki hao wameamua kumshauri msanii huyo kuachana na makundi na kujitathmini upya.

Husna Mrisho aliandika kwenye ukurasa wa Wema Sepetu: “Umejionea kwa macho yako, nadhani sasa ni muda wa kujutia muda wako uliopoteza juu ya marafiki wasio na faida kwako, umeona kwa macho yako nategemea Wema mpya sasa.”

Naye Shamsa Edward, aliandika kwenye ukurasa huo: “Pole sana kwa matatizo ila sasa achana na mashoga, hebu fikiria yule aliyekurekodi si alikuwa shoga yako, ona alivyotaka kuona unataabika,” aliandika.

Jamila Maneno alimaliza kwa kumpongeza mrembo huyo kwa kuugomea mwaliko wa mpenzi wake wa zamani, Nassib Abdul ‘Diamond’ kwenye arobaini ya mtoto wake Nillan.

“Mimi nashukuru tu hukwenda kwenye huo mwaliko, maana wale wangekudharau sana, hivi sasa fanya mambo yako achana na kiki za kijinga hazitakusaidia,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -