Saturday, November 28, 2020

MAVUGO: DIDA MWEPESI SANA KWANGU

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ZAINAB IDDY,

STRAIKA wa Simba raia wa Burundi, Laudit Mavugo, ametamba kuwa ataendelea kumtungua mlinda mlango wa Yanga, Deogratius Munishi ‘Dida’, licha ya kuwa ndiye namba moja katika timu yake.

Mpaka sasa Mavugo ameshatingisha nyavu za Dida mara mbili katika michezo tofauti.

Kwa mara ya kwanza, Mavugo alipachika bao la kusawazisha wakati timu yake ya Simba ilipoifunga Yanga mabao 2-1 katika mchezo wa ligi uliochezwa Februari 25, mwaka huu kwenye Uwanja wa Taifa, jijini Dar es Salaam.

Juzi Mavugo alifunga bao wakati timu yake ya Taifa ya Burundi ilipocheza na Taifa Stars kwenye Uwanja wa Taifa wakati Stars ikishinda mabao 2-1.

Akizungumza na BINGWA juzi, Mavugo alisema Dida ni kipa mzuri, lakini amekuwa akifanya makosa yanayompa uwezo wa kufunga.

“Dida kwangu amekuwa mwepesi sana, amekuwa akifanya makosa langoni mwake mara kwa mara na nimekuwa nikiyatumia kumfunga,” alisema Mavugo.

“Kama asipobadilika kila nitakapokutana naye lazima nitamfunga kwa kuwa tayari ninajua mapungufu yake,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -