Friday, November 27, 2020

Mayanga awashushia lawama washambuliaji

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ZAINAB IDDY,

BAADA ya kupokea kipigo cha mabao 3-1 kutoka kwa Yanga katika mechi ya Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara iliyochezwa juzi kwenye Uwanja wa Uhuru, Dar es Salaam, Kocha Mkuu wa Mtibwa Sugar, Salumu Mayanga, amewashushia zigo la lawama washambuliaji wake kwa kushindwa kutumia nafasi walizopata.

Akizungumza na BINGWA, Mayanga alisema hawakustahili kufungwa mabao hayo, kwani waliweza kutawala mchezo katika kipindi chote cha kwanza, lakini washambuliaji wake walikosa umakini.

“Kipindi cha kwanza tulitawala mchezo kwa asilimia 90 na tulipata nafasi nyingi za kufunga, lakini washambuliaji wangu hawakuwa makini kutimiza majukumu yao.

“Lakini ukiangalia mabao waliyotufunga wenzetu mengi ni uzembe wa mabeki wangu, mfano lile la Obrey Chirwa walikuwa wakimsindikiza kabisa kitu ambacho si kizuri,” alisema.

Kwa matokeo hayo, Mtibwa Sugar wameshuka hadi nafasi ya tano kutoka ya tatu kutokana na pointi 14 sawa na Yanga, lakini wanatofautiana mabao ya kufunga na kufungwa.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -