Thursday, November 26, 2020

MBAO FC WALAMBA MKATABA MNONO

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA MARY PETER, TSJ

MWANGA umeanza kuonekana kwa timu ya Mbao FC ya jijini Mwanza, inayoshiriki Ligi Kuu Tanzania Bara, baada ya kuingia mkataba wa Sh milioni 25 kwa miezi sita na kampuni inayosambaza maziwa ya Cow Bell.

Akizungumza jana jijini Dar es Salaam, Meneja Mauzo wa kampuni hiyo, Elisalia Ndeta, alisema kilichowavutia kuidhamini Mbao ni kutokana na uwezo mkubwa wanaouonyesha, licha ya uchanga wao kwenye ligi.

“Sisi tumevutiwa jinsi Mbao walivyoingia Ligi Kuu na kufanya maajabu, ambapo uwezo wao umetuvutia, ndiyo maana tumeamua kama wadau kuingia nao mkataba huu, japo ni wa muda mfupi,” alisema.

Kwa upande wao, Mbao kupitia kwa mwenyekiti wa timu hiyo, Solly Njashi, aliishukuru kampuni hiyo kwa kuona kwamba wanastahili kupata sapoti hiyo.

“Tunaishukuru kampuni hii kwa kuona kwamba sisi Mbao tunastahili kupata mkataba huu, tunajua kwamba timu zipo nyingi, lakini wakatuona sisi, kuendesha timu ni gharama kubwa, kwa hiyo lazima tushukuru kwa hatua hii,” alisema.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -