Wednesday, October 21, 2020

Mbaya wa Mavugo aendelea kusota na majeraha

Must Read

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu...

NA MARTIN MAZUGWA

BEKI shupavu wa JKT Ruvu, Michael Aidan, ataendelea kuwa nje kwa kipindi kisichojulikana baada ya kusumbuliwa na majeraha ya nyama za paja.

Aidan alipata majeraha hayo katika mchezo wao dhidi ya Simba uliochezwa katika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam Agosti 27, mwaka huu na kumalizika kwa sare tasa.

Itakumbukwa kuwa kabla ya kutolewa kwa kupata majeraha hayo, Aidan alimdhibiti vilivyo straika wa kimataifa wa Burundi anayekipiga Simba, Laudit Mavugo, kwenye mechi hiyo na tangu aumie ameshindwa kuitumikia JKT Ruvu katika mechi zake zilizofuata.

Akizungumza na BINGWA jana, Kocha Msaidizi wa kikosi cha Maafande hao, Azishi Kondo, alisema bado wataendelea kukosa huduma ya Aidan kwa muda usiojulikana, kwani hajawa fiti kuitumikia timu.

“Majeruhi aliyebaki ni Aidan pekee, ambaye haijajulikana atarejea lini uwanjani na hii imetokana na kupata tatizo la nyama za paja ambalo kwa kiasi kikubwa limepelekea maumivu,” alisema.

Akizungumzia mechi yao inayokuja dhidi ya Tanzania Prisons Jumatano ijayo, Azishi alisema maandalizi yanakwenda vizuri, licha ya kuhitaji huduma ya beki wao, Aidan.

“Tulifanya makosa mengi katika mchezo iliopita na Mtibwa Sugar na kwa sasa tunayafanyia kazi ili kuhakikisha hayajirudii kwenye mchezo ujao na Tanzania Prisons, tutakaokuwa tena nyumbani.2

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

Director Kenny: Harmonize alinipeleka WCB nikafanya video ya Lavalava

MWONGOZAJI bora wa video nchini, Kenned Sanga a.k.a Derector Kenny kutoka Zoom Extra, ametua   hapa Jiachie na...

Rogers mwanamuziki anayevutiwa na Marijani

NA JEREMIA ERNEST BONGO Star Search (BSS), ni shindano lililofanikiwa kuibua vipaji vingi vya wanamuziki wa Tanzania ambao miongoni...

Ihefu, Azam patachimbika Sokoine, Katwila ndani

NA ASHA KIGUNDULATIMU ya Ihefu inatarajia kushuka uwanjani kucheza na Azam ukiwa ni mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara  (VPL), utakaochezwa leo...

Mugalu atema cheche Simba

NA ASHA KIGUNDULA MSHAMBULIAJI wa Simba, Chris Mugalu, amesema wanakwenda mkoani Rukwa kupambana na kupata ushindi katika mchezo wao...

Malale aitisha Yanga

NA ZAINAB IDDY KOCHA Mkuu wa timu ya Polisi Tanzania, Malale Hamsini, amezisikia sifa za kocha mpya wa Yanga,...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -