Saturday, November 28, 2020

Mbaya wa Simba ataka Sh milioni 15

Must Read

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali...

NA ZAINAB IDDY,

KLABU ya Mwadui inahitajika kutoa Sh milioni 15 ili kuweza kuinasa saini ya mbaya wa Simba, Waziri Junior, anayekipiga Toto Africans, kwa ajili mzunguko wa pili wa Ligi Kuu Bara.

Junior alifunga bao pekee dhidi ya  Simba  dakika ya 20 kwenye mchezo wa Ligi Kuu  uliochezwa msimu uliopita.

Mchezaji huyo akiwa ameifungia mabao matano Toto Africans katika mzunguko wa kwanza wa ligi hiyo,  Mwadui imeonyesha nia ya kuhitaji huduma yake kwenye mechi za lala salama msimu huu.

Akizungumza na BINGWA, Junior alisema  tayari amekubaliana na Mwadui juu ya kuitumikia timu hiyo iliyopo chini ya kocha mkuu,  Ally Bushiri, lakini akiwaacha  wamalizane na Toto Africans  kwa kuwa  amebakisha miezi sita mkataba wake kwisha.

“Toto nimebakiwa na mkataba wa miezi sita ili nimalizane nao na ndiyo maana imekuwa rahisi kufanya mazungumzo na  Mwadui,  nashukuru  tumefika mahali pazuri, kilichobaki ni wao kumalizana na Toto pekee.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...

Sarpong ‘aua’ shabiki Simba

Na MWANDISHI WETU, MWANZA BAO la dakika ya 29 lililofungwa na Michael Sarpong wa Yanga juzi, limesababisha kifo cha...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -