Tuesday, December 1, 2020

MBAYA WA YANGA AJIPELEKA SIMBA

Must Read

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika...

NA MARTIN MAZUGWA

STRAIKA wa Zanaco ya Zambia, Kwame Attrams, raia wa Ghana, amesema anatamani siku moja kuja kukipiga Simba.

Attrams ndiye aliyeisawazishia Zanaco baada ya Yanga kutangulia kufunga  wakati walipotoka sare ya kufungana bao 1-1 katika mchezo wa Ligi ya Mabingwa Afrika uliochezwa juzi kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Akizungumza na BINGWA juzi, Attrams alisema akizichezea Simba inaweza kuwa njia ya kwenda kusakata kabumbu Ulaya.

Attrams alisema lakini atakuwa tayari kuichezea Simba kwa kuwa ni timu kongwe na zinafuatiliwa na mashabiki wengi barani Afrika ikiwamo nchini Ghana.

Straika huyo aliyezichezea timu za Groupe Spotive Bazano ya Jamuhuri ya Kidemokrasia ya Congo na Wadi Degla ya Misri, alisema malengo yake ni kutaka kuona siku moja anacheza soka Tanzania katika klabu hizo mbili zenye historia kubwa.

“Simba na Yanga ni timu kubwa,  nimeanza kuzisikia tangu nikiwa mdogo natamani siku moja na mimi nije Tanzania kufanya kazi na moja ya klabu hizi,” alisema Attrams.

Alisema anajisikia furaha kuifunga Yanga kwa kuwa ni timu kubwa na tayari ameingia katika historia ya kuwatungua Wanajangwani hao.

Attrams alisema atajisikia zaidi akicheza pamoja na Waghana wenzake wanaokipiga Simba, James Kotei na Daniel Agyei.

- Advertisement -

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisement -

Latest News

HUJUMA NZITO YANGA

NA WINFRIDA MTOI UONGOZI wa Yanga upo katika harakati za kuhamishia mechi zao zilizobaki...

BEN POL AJA NA HIYO NDIO MBAYA

Na Mwandishi Wetu MSANII nguli wa muziki wa R&B na Bongo Fleva Benham Paul 'Ben Pol' ameshukuru mashabiki kwa...

ZILE NI SALAM TU

NA MWANDISHI WETU KIPIGO cha mabao 7-0 walichokitoa Simba juzi kwa Coastal Union katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania...

DEWJI: CHAMA NI SIMBA HADI 2022

Kiungo huyo raia wa Zambia, aliyetoa mchangomkubwakwaSimbakufikisharobo fainaliyaLigiyaMabingwaAfrikamsimuwa 2018/19, ikiwamo kutwaa ubingwa wa LigiKuuTanzaniaBarakwa misimumitatu mfululizo, awali ilidaiwa alikuwa yupo katika hatuayamwishoyakujiunganaYanga.

Sven aruka kihunzi

NA ASHA KIGUNDULA KOCHA Mkuu wa Simba, Sven Vandenbroeck, ameruka kihunzi na kuwaachia msala nyota wake, Clatous Chama na...
- Advertisement -

More Articles Like This

- Advertisement -